BALOZI WA TANZANIA NCHINI MISRI, MOHAMMED HAJI HAMZA (WA KWANZA KULIA), AKICHUKUA CHAKULA PAMOJA NA MAKAMU MWENYEKITI WA YANGA, CLEMENT SANGA, KOCHA, HANS VAN DER PLUIJM NA KIONGOZI WA MSAFARA WAKATI YANGA ILIPOTUA HAPA JIJINI CAIRO KUIVAA AL AHLY. BALOZI ALIWAKARIBISHA YANGA CHAKULA CHA JIONI NYUMBANI KWAKE JIJINI CAIRO IKIWA NI KWA LENGO LA KUWAPONGEZA KUTOKANA NA WALIVYOPAMBANA NA AL AHLY NA KUWATAKA WAENDELEE KUAMINI MABADILIKO YANAWEZEKANA. PICHA NYINGINE CHINI NI NAMNA HAFLA HIYO YA KWA BALOZI ILIVYOKUWA NA IMEMALIZIKA HIVI PUNDE. |
0 COMMENTS:
Post a Comment