Simba ilianza kupachika bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Mzamiru Yassin dakika ya 45. Mtibwa Sugar waliweka usawa dakika ya 46 kupitia Boban Ziringitus kwa kichwa akiwa amezungukwa na msitu wa mabeki wa Simba.
Huu ni mchezo wa pili kwa timu zote mbili ndani ya msimu mpya wa 2020/21 ambapo mchezo wa kwanza Simba ilishinda mabao 2-1 mbele ya Ihefu na leo imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 mbele ya Mtibwa Sugar.
Mtibwa Sugar mchezo wao wa kwanza walilazimisha sare ya bila kufungana mbele ya Ruvu Shooting na leo wamelazimisha sare ya bila kufungana na Simba, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
MIKIA VIPI MBONA KIMYA......HUYU NGURUWE WENU TUNASUBIRI AROPOKE
ReplyDeleteLigi bado sana
DeleteMna point 6 zetu
DeleteAhahahaha kimyaaaa
ReplyDeleteSasa league ndio inaanza
ReplyDeleteSasa ligi ndo imeanza kwa sababu simba katoa droo, ah ah ah ah ah ah furaha yenu tunajua uwa haidumu muda mrefu tunataka muwe mnacomment kila mechi zote zinapoisha nyani fc.
DeleteKWA HIYO YANGA BINGWA AU TEH TEH TEH TEH KWELI UTOPOLO HAMNAZO
ReplyDeleteMechi ijayo mnunue
ReplyDeleteKwa hii hali lazima thie mikia Fc tuongee na Kamati ya marefa sababu leo katupa vizaa vingi ila penalt hajatupa
ReplyDeleteHalafu inaonekana hata matawi yetu yatabana labda tuombe KMC tu
ReplyDeleteATA NYINYI TUTAWANUNUA ILI TUIWAPIGE 5G SIO 4G TENA NDEGERESI
ReplyDeleteMmeshindwa Mtibwa yenye matapishi yenu mtuweze sisi,kama jezi tu ime watoa mimba je mpira?
ReplyDeletechizi sio lazima aokote makopo haina haja ya kubishana na utopolo
ReplyDeleteeti mmemshindwa Mtibwa mtatuweza sisi, ndio tatizo la kushabikia mpira kwenye mitandao ya kijamii kwa hiyo kwa vile tumetoa droo na mtibwa kwa mawazo yako ndio utaifunga simba teh teh teh teh teh
ReplyDeleteKuna wehu kuliko ninyi na msemaji wenu mpo Kama waimba taarabu na kipindi hiki ndo joto limeanza tutawakoma.Eti Kwenye ligi kila mtu atakula sita kiko wapi.kwa Ihefu msaada wa refa leo vile magagula yenu mekundu ya kiganga kwishneeee
ReplyDeletetunawakaribisha kesho njooni muone soka punga wa mwamedi na demu wake manara aka zungu
ReplyDeleteMsimu iliyopita Walikua na matawi mpaka jangwani, ndio maana wakawa na uhakika wa ushindio, kumbe wamesha nunua wachezaji, mwisho wa siku sasaiv wako kwao wanambwela, na bado mtaumia sana, Tena safari hii muombe msikutane na zile 5 *2 za kimataifa. Kushukuru UD songo waliwanusuru na aibu ya kimataifa.
ReplyDeleteNgoja kwanza umesharudisha lile shuka ulilotoroka nalo Milembe, na dozi za uchizi vp unaendelea kumeza au umekatisha, maana tusije tukawa tunabishana na mtu ambaye Ubongo umetikisika kidogo ikawa tabu hivi tumefungwa tano alafu mbona huwa hammalizii baada ya kufungwa tano kilichofuata kilikuwa nini, aliyeshinda tano alifika wapi kwenye hiyo michuano simba inakera ndo mana tukitoa droo tu, maiti inapiga chafya(utopolo)siku tukifungwa naona wataenda kuwapokea Uwanja wa ndege hiyo timu iliyotufunga teh teh teh teh
DeleteKikosi kipana ktk ubora wake...
ReplyDeleteNyinyi utopolo kaveni nepi zenu za gsm
ReplyDeleteMlipotoka draw na prison mlikuwa na matawi ya jangwani
ReplyDeleteHivi Kuna ligi inachezwa timu inashinda mechi zote?bila sare?kumbuka tumecheza ugenini,utopole mmetoa sare nyumbani?
ReplyDeleteUtopolo mnapoint ngapi mpaka sasa?
ReplyDeleteWakimataifa orgin tunajiandaa na za kimataifa na za nyumbani, utopolo mnajiandaa naza nyumbani jwakubadilisha gagulo lkn uwanjani zero.
ReplyDeleteWakimatifa wakupakatwaaaaa
ReplyDelete