July 31, 2014



Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amesema hadi sasa kikosi chake hakika mchezaji mwenye uhakika na namba.
Loga raia wa Croatia amesema wachezaji wote wanapaswa kujua sasa ndiyo wakati wa kusaka namna.
“Siwezi kuwa na mchezaji mwenye uhakika na namba katika kikosi, isipokuwa nampa nafasi kila mmoja kutafuta nafasi.
“Kama mchezaji anataka namba, basi apambane mazoezini, aonyeshe juhudi, aonyeshe atakuwa msaada kwa timu,” alisema Logarusic.
Kocha huyo wa zamani wa Gor Mahia amesisitiza suala la nidhamu na wachezaji kujituma kuwa dira ya muongozo wa kazi zake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic