Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Haji Manara ameandika:" kwa hiyo mzunguko wa dunia umesimama siyo? Simba ni huge Club (klabu kubwa) our hope (matumaini yetu) kesho Senzo utakuja kukabidhi ofisi na nyaraka zetu kama utaratibu unavyosema. Kifuatacho.
Sababu kubwa inayotajwa kwa Senzo kubwaga manyanga ni kutokana na suala la usajili wa Bernard Morrison ambaye alitangazwa jana kuibukia ndani ya Simba akitokea Yanga.
Inaelezwa kuwa Morrison hakuwa chaguo la Senzo kusajiliwa kwake kumefanya akasirike na kujiweka pembeni.
Kwa hiyo TFF kesho ikimuidhinisha Morrison kuichezea Yanga, Senzo atajiuzulu Yanga pia?
ReplyDeleteAtapelekwa kwa mkopo lipuli
Deletekwan yeye ni kocha? akatae mchezaji? maajabu ya dunia kwa hyo anataka wachezaji wake yeye?
ReplyDeleteYeye siyo kocha ila anajitambua na anafanya kazi kiweledi si kimihemko kama unavyotaka wewe. Swala la Bernard Morrison linashughulikiwa na vyombo husika, kesho tarehe 10 jt3 ndiyo maamuzi yanapashwa kutolewa, sasa kocha atasajili vipi mchezaji mwenye matatizo na kiongozi anayejitambua akalifumbia macho? Au kwa vile Mwenyekiti wa TFF ni Simba damu ndiyo airuhusu Simba kufanya chochote hata kabla ya muda wa maamuzi wa vyombo husika vyenye dhamana?
DeleteSahihi bro wangesubiri kumtambulisha baada ya Kesi kimalizika
DeleteManara anatamka hayo maneno kama nani anayetakiwa kutoa tamko ni rais au mwenyekiti wa bodi
ReplyDeleteMwenyekiti wa Bodi ameshatoa tamko kwamba Simba ni kubwa kuliko mtu. Tunasonga mbele.
ReplyDeleteManara anayohaki ya kutamka hayo kwa sababu anajua naowafurahisha akili zao nindogo kama yeye acha awapelekeshe hao manara hoyeeee
ReplyDeleteManara ni afisa habari wa timu ndiye mwenye jukumu la kutuhabarisha kuhusu habari za simba.
DeleteAfisa habari anatoa taarifa baada ya bodi kukaa Senzo alikuwa ceo kwa kifupi hana heledi kaongea kishabiki
DeleteHuyo alitaka atafute wachezaji wake yeye ili atupige hela Kama alivyofanya kwa wabrazil alivyotupiga hela
ReplyDeleteHamkosaki cha kusema. "Sizitaki mbichi hizi..."
Delete..ndio ushabiki wa kandanda
Deletekwanza huyo ni mfanyakazi tu anayeajiliwa na kufukuzwa au kujiuzulu mwenyewe. Hana msaada wowote kwa Simba sababu hajawai kutoa hata senti tano zaidi ya yeye kuja kutafuta pesa ya kulisha familia yake. Mwenzake Magoli aliiwezesha timu kucheza robo fainali mnafikili huyu jamaa angeweza kweli kama alishindwa kuiwezesha Orlando Pirates aliyokuwa nao mpk akafukuzwa??? Orlando Pirates haikufanikiwa kwa lolote wakati wake
ReplyDeleteAtuachie Simba yetu tukachukue ubingwa wa Afrika safari hii maana tumesheheni kuliko timu yoyote Afrika!!! Ataishia kushangilia timu za nje tu yeye na watu wake wa matopeni. Alishajistukia kwamba anafukuzwa kabla ya mwezi huu kuisha ndio maana akawai kujiuzulu na Yanga wamempapatikia wakifikili labda ndie aliyekuwa anasajili akina Luis Simba
ReplyDeleteMorrison sio chaguo la Senzo kwani Senzo ndie kocha?
ReplyDeleteCEO tu mmechanganyikiwa je tungemchukua mchezaji wenu si mnhmgejinyeaaa ovyo ovyoooo . mnateseka na CEO kweli nyie BATA kweli
ReplyDeleteNachekaa kweli, mabingwa wa maabara hao
ReplyDeleteYote kwa yote, senzo aliikuta Simba IPO fire na anaiacha IPO fire na itsbaki kuwa fire. Tutamuajiri CEO mwenye uwezo zaidi yake atakaye tupa SIMBA ubingwa na mafanikio kedede, usajili Ni kocha na ndiye anaepanfa team Nani asajiliwe na nani atacheza. Final kwa wadau au true alitaka kuwa dakali wa Simba? ha!ha!Haas matopeni wamefanta binge la usajili na kuamini wanajwenda kutwaa ubingwa msimu ujao, thubutuu mfuko umetoboka mtawezea wapi.
ReplyDeleteWodi ya vichaa hata Dr ni Kichaaa Mikia wote wapimwe akili
DeleteMsemaji wenu akili yake inategemea hali ya hewa au mwandamo wa mwezi
DeleteKwani nyani akikuzomea we si unaendelea na safari yako ukishindana nae utaaumiza akili yako Manyani f.c
Delete