September 16, 2014

 Jezi nyingine bana! Angalia hizi mpya za kikosi cha 1860 Munich ya Ujerumani.

Timu hiyo iliyo daraja la pili inapambana kurejea Ligi Kuu Ujerumani na imekuwa ikitumia uwanja mmoja na ndugu zao Bayern Munich.

Jezi hizo zinafanana na vazi la asili la Ujerumani, kama lile ambalo hupenda kuvaa Bayern wanapokuwa wametwaa ubingwa, halafu ‘wanakula’ pombe sana.
Vazi hilo linajulikana kama lederhosen na ukifikia wakati wa kulivaa, basi ni ‘bata’ na ‘kilaji’ kwenda mbele. Sasa wao wameliweka kwenye jezi.

WAKIWA KWENYE UZI WAO WA KAWAIDA.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic