ANTONELLA ROCUZZO MPENZI WA MSHAMBULIAJI NYOTA WA BARCELONA, LIONEL MESSI AMEONYESHA TATUU MPYA YA MPENZI WAKE HUYO AMBAYO ALIKUWA KATIKA HARAKATI YA KUIKAMILISHA KATIKA MGUU WAKE. ANTONELLA AMBAYE AMEZAA MTOTO MMOJA NA MESSI, ALIITUNDIKA PICHA HIYO KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM.
0 COMMENTS:
Post a Comment