KLABU ya Yanga leo Septemba 17 imeingia makubaliano na Wizara ya Maliasili na Utalii, ya kuvaa jezi zenye nembo ya VISIT KILIMANJAO & ZANZIBAR kwenye michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Yanga inaipeperusha bendera ya Tanzania kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa na kwa sasa ipo kwenye hatua za awali za Ligi ya Mabingwa.
Mchezo wao ujao ni wa marudio dhidi ya Rivers United ambao unatarajiwa kuchezwa Jumapili, Septemba 19 nchini Nigeria.
Siku zote SIMBA huonyesha njia na wengine hufuata. Yaani!! Hii ni poa sana rè
ReplyDeleteKWA KUIGA JEZI ZA WATU ALAFU WENGINE WANAFUATA
DeleteHayo ni mawazo ya wizara na sio ya makoro.. musijishebedue kwenye hili.
Deleteduuu haya mambo bna,,,kwahyo mechi ya kwanza haikuwa ya kimataifa,,,au wazo ndo limekuja saiz
ReplyDeleteWajitahidi wasije wakaishia kuitangaza mechi moja tuu ikawa haina maana tena
ReplyDeleteMnapenda sana kuiga nyie utopolo
ReplyDeleteTena wameiga kwa arsenal.Ila simba wameiga arsenal pia zile jezi
DeleteArsenal wamefadhiliwa na Rwanda ndio maana wakaweka 'Visit Rwanda' Wizara imeiga na kuanza ma Makoro na sio ubunifu wenu, nyie mnajua kujaza makorokoro tu.
DeleteHui unaweza kufunja rekodi ya kuwa mkataba mfupi zaidi duniani, wa siku 3! Yaani leo hadi j2
ReplyDeleteCAS hawajui kuiga tarehe 21 hiyooooo
ReplyDeleteWanaweka record mkataba mfupi kuliko yote duniani
ReplyDeleteHahahaaa n hatal sanaaa
ReplyDeleteNdo laha ya Huko utopolo mwisho kuvaa jumapili
ReplyDeleteMtaongea sana hili wazo litawasumbua sana
ReplyDeleteYaa well said si hata kuanzishwa simba ilianza yanga ikafuata eeeh
ReplyDeleteUtopolo hamna jipya
Delete