February 27, 2013




Everton imefanikiwa kusonga robo fainali ya Kombe la FA baada ya kuibutua Oldham Athletic kwa mabao 3-1. 


Katika mechi ya kwanza, Oldham iliwashangaza wengi baada ya kulazimisha sare ya mabao 2-2, hali iliyofanya mchezo huo urudiwe.
Mabao ya Everton usiku wa kuamkia leo (Jumatano) yalifungwa na Kevin Mirallas, Osman na Baines. Na sasa Everton itakutana Wigan katika mchezo unaofuata huku Man City ikicheza Barnsley.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic