March 3, 2013




 Naibu Mkurugenzi wa BancABC, Misheck Ugaro akizungumza na waandishi katika uzinduzi wa mashindano ya gofu yaliyodhaminiwa na benki hiyo jana kwenye Viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam.

 Mchezaji wa gofu wa timu ya Gymkhana, Mo Khimji akipiga mpira wakati wa uzinduzi huo wa michuano iliyodhaminiwa na BancABC, jana.

 Naibu Mkurugenzi wa BancABC, Misheck Ugaro akipiga mpira wakati wa mashindano hayo jana jijini Dar es Salaam.

PICHA: Issamichuzi.blogspot.com

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic