March 3, 2013



Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wanafanya mazoezi ufukweni pamoja na kuogelea. Wakazi hao walionekana leo alfajiri katika ufukwe wa bahari ya hindi karibu kabisa na Hospitali ya Aga Khan.




Imekuwa ni kawaida kwa wakazi mbalimbali kufanya mazoezi na kuogelea katika ufukwe huo hasa siku ya Jumapili. Watanzania wengi wamekuwa wakilaumiwa kutokana na uvivu na kutopenda mazoezi ingawa Watanzania hao wanaoonekana pichani wanaweza kuwa mfano au changamoto, kwamba mazoezi yana faida.

2 COMMENTS:

  1. Yeah, mazoezi ni jambo jema sana kwa afya kaka. Tembelea biafra-jogging.blogspot.com kwa picha na habari mbalimbali zinazohusu jogging kaka!

    ReplyDelete
  2. mhhhhhh walivyojaaa akitokea papa hapo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic