March 9, 2013




FULL TIME:
Dk 83, Kiiza na kipa wa Toto lakini anashindwa kuunganisha pasi safi ya Kavumbagu.
Dk 78 GOOOOOOO, Nizar aliyeingia kipindi cha pili anafunga bao kwa kuunganishja krosi ya Kiiza.
Dk 73 anatoka Taita anaingia Kavumbagu.
Dk 67 Toto wanapata pigo beki wake Eric Mlilo anapigwa njano ya pili na kuiwa red.
DK 66, Kiiza anakosa tena bao.
Dk 56, Msuva anashindwa kutulia na kuunganisha krosi saafi ya Kiiza ambaye aliwatoka mabeki wawili wa Toto.
Dk 51 kros maridadi ya Kiiza lakini Tegete anashindwa kuunganisha na mpira unapita juu ya lango.

MAPUMZIKO, milango migumu.
Dk 35 Kiiza na Tegete wanashindwa kuunganisha mpirawa faulo wa Niyonzima.
Dk 15 Kiiza anapachika bao kwa kichwa, mwamuzi anasema hapana, alisukuma kabla ya kuupiga mpira.
Dk 1 hadi 5, mpira haujatulia, wachezaji wanateleza kutokana na mvua iliyonyesha dakika chache kabla ya mechi.

YANGA
Barthez, Taita, Luhende, Twite, Yondani, Chuji, Msuva, Domayo, Tegete, Kiiza  na Niyonzima.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic