March 3, 2013



Baada ya kupoteza mechi ya kwanza kwa kufungwa mabao 3-0 mjini Zanzibar, Jamhuri ikiwa ugenini leo imelala kwa mabao 5-0 dhidi ya St George.
Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa wa Addis Ababa, wenyeji ndiyo walionekana kutawala mchezo muda mwingi.

 
Kwa matokeo hayo, maana yake Jamhuri wameaga kwa jumla ya mabao 8-0 na kuendeleza wimbi la timu za Tanzania kuishia katika hatua za awali.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic