March 3, 2013



Sec Half:
FULL TIME
Azam wamesonga mbele kwa jumla ya mabao 8-1 dhidi ya Al Nasir ya Sudan Kusini
Azam FC wanapata bao la 5 kupitia kwa mcha Hamis

Azam FC wanapata bao la nne kupitia Kipre ingawa kuna utata kidogo kuhusu mfungaji
Mashambulizi ni kwa zamu ingawa wenyeji wanaonekana kutokuwa na hatari yoyote
Bocco anaipatia Aza bao la tatu
Bao la Bocco ni dalili kuwa hakuna namna ya kuizua Azam FC kusonga mbele
Half time
Wafungaji wa Azam ni Bocco na Mcha
Hadi timu zinakwenda mapumziko, vijana wa Kitanzania...
Azam wanaongoza kwa mabao mawili
Al Nasr wanaendelea kulisakama lango la Azam FC
Hata hivyo vijana wa Hall wanaonekana kutulia zaidi

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic