March 5, 2013




Yanga iliendelea na mazoezi leo kwenye Uwanja wa Bora, Kijitonyama jijini Dare s Salaam chini ya kocha wake, Ernie Brandts.

Mazoezi hayo yaliyochukua zaidi ya saa mbili yalikuwa ni kupasha misuli na baada ya hapo wachezaji walipiga full game ambayo inafanana kabisa na mchezo wa ligi kuu.
Wachezaji hao walionyesha kupania ushindi, timu ya kijani ikitaka kuishinda ya njano. Mabeki walionyesha kukamia kutotaka kupitwa.

Lakini mwisho, timu ya njano iliyokuwa na ngome inayoongozwa na Kelvin Yondani na Mbuyu Twite ilijikuta ikiachia mabao 3-1.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic