July 1, 2019

5 COMMENTS:

  1. Haji Manara oyeeeeee.
    Ndio aliyeshauri iii ifanywe ili kuondoa ubishi wa maneno yake.Nakukubali sana Brother Haji Manara

    ReplyDelete
  2. Timu ya wananchi ndo inajulikana kwa namna hii, sio mdomoni. Mdomoni unaweza kusema lolote linalo kupendeza kinyume na ukweli halisi.

    ReplyDelete
  3. Hizo hesabu zina ukakasi ndani yake.Mechi 2 za Simba zinaingiza pesa hiyo hata kama Ni mgao wa 60%. Simba kacheza mechi za CAF kaingiza 900ml. Iweje mechi 19 pesa hiyo???

    ReplyDelete
  4. Kila siku nasema, tuache Sana ushabiki, tupende kuchambua vitu ktk uhalisia wake. Moja ya vitu vinavyopunguza mapato nimaendeleo mabaya ya club. Ukiangalia tofauti iliyopo ya pesa walizo ingiza yanga na Simba sio kubwa Sana, japo ktk msimu ulopita Simba ilivutia Sana mashabiki wake kuliko yanga.mnapo piga hesabu za kuiona Simba inamashabiki wengi mkumbuke na yanga ilikuwa ktk hali gani?. Yanga iliyoingiza zaidi ya milioni Mia tatu wakat mashabiki wengi walikuwa hawaingii uanjani kutokana na kutoiyaimini timu yao uanjani. Yanga ambayo matawi mengi ya mbez kwa yusufu, temboni, tandale, ubungo terminal namingine yalipoteza hamasa na kubaki kuangalia mpira kwenye TV. Kama elimu ni ndogo yakuyafikiri haya inamaana hata macho hamna? Kwatofauti hii ya mapato ya mlangoni Kati ya yanga nasimba bado naamini yanga Ina mashabiki bora zaidi, wavumilivu na wanoithamini club yao. Ukitaka kujiridhisha hilo subiri msimu ambayo yanga inafanya vizr uanjani, uone jinsi hamasa itakavyozidi uanjani na mapato yatakavyongezeka, hapo ndo mje kufanya comparison kati ya yanga na Simba ipi inaingiza mapato mengi mlangoni.

    ReplyDelete
  5. Uko vzr brother, hoja zako haziitaji mpaka MTU awe amesoma chuo kikuu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic