Beki wa
Azan FC, Agrey Morris ambaye amrudishwa kundini hivi karibuni juzi aliishuhudia
timu yake ikipambana wakati akiwa jukwaani.
Wakati wachezaji
wa Azam wanaingia na kutoka vyumbani, wakati mwingine Morris aliangalia au
kuamua kuangalia pembeni kabisa.
Beki huyo
kisiki katika timu ya taifa, Taifa Stars alikuwa mtulivu akifuatilia mchezo huo
kwa umakini mkubwa. Matokeo ya mwisho yalikuwa bao 2-2.







0 COMMENTS:
Post a Comment