Hakuna anayeweza
kubisha kuwa mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi ana uwezo mkubwa wa
kumiliki mpira kama unavyoona.
Ana uwezo wa
kuudhibiti na kuuweka sehemu yoyote ile, hii huweza kufanywa na wachezaji
wachache sana na wengine hawawezi.
Lakini mama
huyo wa Kiafrika ana uwezo wa kuwa na uwezo mkubwa zaidi au control ya kutosha
zaidi huenda kuliko wachezaji wote duniani.
Angalia akina mama wanavyobeba ndoo za maji huku wakiwa na watoto mgongoni, au mizigo ya ziada na bado 'kitu' kinatulia vilivyo.
Uwezo wake wa
kudhibiti vyungu zaidi ya vitano unaonekana, hii maana yake akina mama wa
Kiafrika ni noma hasa katika suala la control sema wengi si wanasoka. Au wewe
unasemaje?








HII NI KALI
ReplyDelete