Sare kati ya QPR na Reading imeidhinisha timu hizo mbili kuwa za kwanza kuteremka daraja katika Ligi Kuu England.
Sare hiyo ya bila mabao, maana yake timu hizo mbili, kila moja imeteremka daraja baada ya kubaki na pointi 35.
Maana yake hata kama zitashinda mechi Kila timu imecheza mechi tatu zilizobaki, itapata pointi tisa na haiwezi kujikomboa kubaki Premiership msimu ujao.








0 COMMENTS:
Post a Comment