Nyota huyo ambaye alikuwa anakipiga Asente Kotoko ya Ghana amesaini dili la miaka miwili.
Sogne amesema kuwa anafurahi kuwa ndani ya kikosi cha Yanga ambacho anaamini ni njia yake ya kufikia mafanikio.
Nyota huyo ambaye alikuwa anakipiga Asente Kotoko ya Ghana amesaini dili la miaka miwili.
Sogne amesema kuwa anafurahi kuwa ndani ya kikosi cha Yanga ambacho anaamini ni njia yake ya kufikia mafanikio.
Mbona mapema sana
ReplyDeleteKaribu bongo
ReplyDeleteInafikirisha mwezi March Medeama walimsajili huyu mtu kwa mkataba mrefu akiwa ametoka majeruhi Asante Kotoko, leo Yanga wanamtangaza kumsajili akiwa huko huko, wamejiridhisha vip na afya yake? Kwanini Medeama wamemwachia bila kumtumia......................!
ReplyDeleteYa Yikpe yanaweza kujirudia tena
DeleteYANGA HUU USAJILI WAO TAKWIMU ZAKE HUYO JAMMA NI NGUMU KUAMINI KAMA KASAJILIWA NA TIMU KUBWA KAMA YANGA.
ReplyDeleteWaache wawasogezee karibu Simba mchezaji wao.Maana kazi Yanga ni kumtafutia simba wachezaji.
ReplyDeleteHajafika bt wamemalizana je ni kweli Mh Sarehe Ally hizi propaganda za kaja lini sijui passport iligongwa lini ,je vibali vya ujio wake alikuwa anakwendq wapi eg mwaliko angalia sheria za uhamiaji Mghana anaingiaje Tz
ReplyDeleteMm mm isije ikawa ya kalengo
ReplyDeleteEnter your comment...hivi morrisoni mnayemgombea na nyie yanga ilijiridhisha kabla?,acha wenge
ReplyDeleteDuuh..yasijee yakawa ya afadhali ya molinga
ReplyDeleteHuyo Morrison mnaye mgombea aliletwa na mama yako mkia wewe?
ReplyDelete