Pamoja na
kwamba shabiki huyu wa Yanga alikuwa ameivaa jezi yake ya rangi nyeupe,
nyekundu na kijani, bado mashabiki wengine wa Yanga hawakufurahishwa.
Hivyo
walimvua kwa nguvu jezi ya Yanga, wakamvua kwa nguvu jezi hiyo ambayo
inasadikiwa kuwa ni ya timu ya taifa ya Ureno ugenini.
Baada ya
hapo walimtaka aiweke mfukoni na jezi yake ya njano ndiyo akavaa.
Hii ni
kawaida katika uwanja wa Taifa, Dar hasa kunapokuwa na mechi ya watani.
0 COMMENTS:
Post a Comment