June 20, 2013





Kocha Msaidizi wa timu ya vijana ya Simba, Amri Saidi leo ameendelea na kazi ya kukinoa kikosi chake hicho kwenye Uwanja wa Mwenge Shooting jijini Dar es Salaam.

Amri maarufu kama Stam, ameendelea na mazoezi hayo baada ya kuamua kuwahamisha vijana wake kutoka Uwanja wa Kinesi ambao unatumiwa na Simba, timu kubwa.



Picha zinaonyesha namna Amri alivyokuwa bize akiwanoa vijana wake, bosi wake Selemani Matola hakuonekana lakini aliendelea kupata msaada kutoka kwa Meneja, Patrick Rweyemamu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic