KUTOKA NYUMBANI KWA MAMA MZAZI WA MAREHEMU JAFFARI AMBAYE ALIKUWA MUME WA KHADIJA KOPA Mama Mzazi wa marehemu Jaffari Ally, Bi. Rehema Tuwa, akilia kwa uchungu nyumbani kwake Tandale jijini Dar kwa kuondokewa na mwanaye. Akina mama waliofika kumfariji mama mzazi wa marehemu Jaffari.
0 COMMENTS:
Post a Comment