KIM NA MSAIDIZI WAKE MARSH, WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO MJINI KAMPALA |
Kikosi cha Stars kitakachocheza kesho, hivi ndivyo alivyopanga Kocha Mkuu, Kim Poulsen;
Juma Kaseja, Erasto Nyoni, David Luhende, Aggrey Morris, Kelvin Yondani,
Athuman Idd, Salum Abubakar, Frank Domayo, John Bocco, Amri Kiemba na Mrisho
Ngasa.
Lakini Waganda nao wakapanga cha kwao, hivi ndivyo walivyokipanga kikosi cha kesho, wakionyesha namba timu yao itakavyoshambulia. Lakini tatizo, waandishi ndiyo wameyakosea 'kinoma' majina ya wachezaji Stars. Angalia...
0 COMMENTS:
Post a Comment