Chelsea ya England imeibuka na ushindi wa mabao 8-1 dhidi ya wenyeji wao Indonesia All Stars.
Wakati Chelsea inatoa kipigo hicho katika moja ya mechi ilizopangiwa kucheza ikiwa katika ziara yake barani Asia, kocha wake Jose Mourinho alionekana ni mwenye tabasamu muda wote.
Kikosi cha Chelsea: Blackman (Schwarzer 46); Wallace (Ivanovic 46), Cahill, Terry (Kalas 46), Bertrand (Cole 46); Chalobah (Essien 46), Van Ginkel (McEachran 60); Ramires (Feruz 60), Hazard (Piazon 60), Moses (Traore 46); Ba (Lukaku 46).
Mabao ya Chelsea: Hazard (penalty) 21, Ramires 29, 56 Ba 32, Terry 45, Traore 50, Lukaku 52, 65.
Bao la Indonesia All-Stars: Kalas (og) 67.
0 COMMENTS:
Post a Comment