WADAU, NIKO NA JEMBE LA ENZI HIZO, KWA MNAOMKUMBUKA KAZI KWENU... MMILIKI WA BLOG HII, SALEH ALLY AKIWA NA MCHEZAJI NYOTA WA ZAMANI WA PAMBA, SIMBA NA TIMU YA TAIFA. INAONEKANA WENGI WAMEMSAHAU HATA MWENYEWE AMESEMA WATU WENGI WAMEMSAHAU...WEWE JE?
George Magere Massatu hakuna atakae msahau beki kisiki huyo na mjuzi wa kuogoa mipira kwenye chaki
ReplyDelete