Simba imekubali kumuuza kiungo wake
Mwinyi KAzimoto katika timu ya Al Markhiya ya Qatar.
Simba imepokea dola 35,000 za
utangulizi kati ya 50,000 ilizotaka kupewa na klabu hiyo ya Qatar imeahidi
kumalizia.
Saleh Hassan Hafif ndiye alikabidhi
fedha hizo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope.







0 COMMENTS:
Post a Comment