August 12, 2013



 
Kipa Diego López wa Real Madrid amezua mkanganyiko mkubwa kcoha wake Carlo Ancelotti.

Ancelotti anaonekana kuingia katika wakati mgumu kutokana na namna Lopez kuonyesha kiwango cha juu.

Lopez ameonyesha kiwango cha juu katika mechi za kirafiki za timu hiyo ambazo imecheza.

 
Hali inayomfanya Ancelotti azidi kuchanganyikiwa kuwa yupi hasa awe kipa namba moja kati ya hao wawili.

Lopez alianza kupata nafasi ya kudaka baada ya kocha wa zamani wa Real Madrid, Jose Mourinho kukorofishana na Casillas.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic