Mshambuliaji wa Arsenal, Theo Walcott
amesema atamkaribisha Luis Suarez ikiwa atatua klabuni hapo lakini akasisitiza
kuwa Arsenal bado ni timu bora bila hata ya Suarez anayewaniwa kwa nguvu.
Hivi sasa kumekuwa na sekeseke kubwa
juu ya uhamisho wa mchezaji huyo wa Liverpool, ambapo anataka kuondoka klabuni
hapo lakini uongozi unamzua, Arsenal ndiyo inayotajwa kumuwania kwa ukaribu
zaidi.
“Kama (Suarez) akija, itakuwa vizuri,”
aliasema Walcott na kuendelea: “Hata kama tutabaki kama tulivyo, bado tuna timu
nzuri kama tulivyoonyesha katika mechi 10 za mwisho msimu uliopita.”









0 COMMENTS:
Post a Comment