October 31, 2013


Kiungo nyota wa Real Madrid, Gareth Bale ameibuka na kufunga mabao mawili wakati timu yake ikiichakaza Sevilla kwa mabao 7-3.


Bale ambaye alikuwa anaonekana kama ameshindwa ‘kufanya kazi’ kulingana na gharama yake ya pauni milioni 86 ambayo ni ghali zaidi, sasa ameonyesha kwamba si ‘simba mzee’.


Mabao yake mawili katika dakika ya 13 na 27 kabla ya Cristiano Ronaldo kupiga matatu na Karim Benzema mawili.
Kutokana na ushindi huo, Real Madrid imepaa hadi nafasi ya tatu nyuma ya Atletico Madrid na Barcelona.

 Real Madrid: Diego López, Arbeloa, Varane, Ramos, Marcelo, Illarramendi (Alonso 64), Khedira (Di Maria 82), Bale, Isco (Modric 71), Ronaldo, Benzema.
Subs not used: Casillas, Pepe, Carvajal, Morata.
Goals: Bale 13, 27, Ronaldo (pen) 32, 60, 71, Benzema 53, 80.
Booked: Ramos, Arbeloa, Khedira.
Sevilla: Beto, Pareja, Carriço, Navarro, Figueiras, Rakitic, Mbia, Alberto, Jairo (Perotti 62), Vitolo (Reyes 83), Bacca (Gameiro 62).
Subs not used: Javi Varas, Cala, Iborra, Coke.
Goals: Rakitic (pen) 38, 63, Bacca 40.
Booked: Alberto, M'Bia.
Sent off: M'Bia (76).







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic