October 6, 2013





Mkali wa tenisi, Novak Djokovic amemshinda Rafael Nadal na kutwaa ubingwa wa China Open.


Pamoja na ushindi huo, Djokovic ameshindwa kumshusha Nadal katika ya mchezaji bora namba moja dunia.



Djokovic ameshinda kwa seti mbili mfululizo na kutwaa ubingwa huo leo jijini Beijing.

Mechi hiyo ilikuwa kali lakini Djokovic kutoka Serbia alionekana kuwa fiti zaidi kuliko Nadal.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic