Dk 83, KAze anasawazisha bao kwa kichwa na kuwaacha Yanga hoi. 3-3.
dK 64, Ngassa anawatoka Owino na Kaze, anabaki yeye na kipa, anapiga lakini kipa anaokoa.
Dk 57, Owino anaifungia Smba bao la pili baada ya kuunganisha vizuri mpira wa kona wa Messi wakati mabeki wa Yanga wakimuangalia.
Dk 53, Mwombeki anaipatia Simba bao moja baada ya pasi nzuri ya Tambwe.
Simba wanaonekana kubadilika kipindi cha pili baada ya kuwatoa Humud na Chanongo.
HALF TIME...SIMBA 0 YANGA 3
Dakika ya 45, Kiiza tena anaifungia Yanga bao la tatu baada ya Kavumbagu kugongeana vizuri na Niyonzima.
Simba wanaonekana kupotea huku Yanga wakishambulia na kupoteza nafasi nyingi ambazo kama wakizitumia, basi ni tatizo kubwa kwa Simba.
Dakika ya 36, Kiiza anaifungia Yanga bao la pili baada ya beki Shamte kujichanganya mpira wa kurusha wa Twite ulioguswa na Kavumbagu kwa kichwa.
Dakika ya 15, Ngassa anaifungia Yanga bao baada ya kuiwahi krosi ya Kavumbagu na kuandika bao.

Yanga ndiyo wameanza mchezo kwa pasi za
uhakika huku wakiwapa Simba tabu muda mwingi.
0 COMMENTS:
Post a Comment