November 16, 2013

DILUNGA MAZOEZINI STARS
  
Kiungo wa Ruvu Shooting, Hassan Dilunga ameikana Yanga na kushangazwa na taarifa zilizotolewa na mtandao wa timu hiyo na kusambazwa.


Mtandao wa Yanga pamoja na wall yake ya Facebook ilieleza tayari uongozi umemtia Dilunga mkononi.

Lakini alipoulizwa leo katika mazoezi ya Stars akasema: “Nashangazwa na taarifa hizo, hakika bado ni mchezaji wa Ruvu Shooting.

“Unakumbuka mwaka jana, walisema nimesaini Simba lakini mwisho nilicheza timu gani? Uliona mwenyewe. Mimi sijasaini Yanga.”

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic