November 3, 2013




Kikao cha Kamati ya Utendaji ya TFF kilichokaa kimeamua kumng’oa madarakani aliyekuwa katibu mkuu, Angetile Osiah.


Nafasi ya Osiah sasa inashikwa na msemaji wa TFF, Boniface Wambura hadi hapo atakapotagazwa atakayeshika nafasi hiyo.

Kikao hicho chini ya Rais mpya wa TFF, Jamal Malinzi kimeonyesha kutoridhishwa na utendaji wa Oshia ambaye ni mmoja waandishi waandamizi wa michezo nchini.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic