November 3, 2013





Gareth Bale ameendelea kuwanyamazisha waliokuwa wakimuona hana kitu baada ya kufunga mabao na kutoa pasi muhimu.


Katika siku tatu, Bale ametoa pasi nne zilizozaa mabao manne katika kikosi cha Madrid.

Kati ya hizo, pasi mbili alizitoa Juzi katika mechi kati ya Madrid na Rayo Valcano iliyoisha kwa mabao 3-2, pasi zake mbili, mabao yalifungwa na Karima Benzema na Cristiano Ronaldo.

Awali Bale alionekana hatoweza kutamba, lakini sasa amekuwa gumzo na kama asipofunga amekuwa akitoa pasi zinazozaa mabao.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic