November 7, 2013


Dakika chache baada ya mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Azam FC na Mbeya City, Kocha Stewart Hall ametangaza kuachana na Azam FC.



Hall amesema anaachana na Azam FC baada ya kupata ofa kubwa iliyomshawishi kuichukua.

Hata hivyo, kabla SALEHJEMBE ilipata taarifa za uongozi wa Azam FC kumuambia Hall kwamba hahitajiki.

Hii ni mara ya pili anaondoka, kabla aliachishwa kazi na kurejea kwao England, baadaye akarudi na kutoa Kenya ambako aliifundisha Sofapaka.


Azam FC iliyomchukua Boris Bunjac wa Serbia walishindwana naye na baadaye na kumuita tena ainoe.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic