November 19, 2013

MZEE KINESI



Aliyekuwa akikaimu nafasi ya Umakamu uenyekiti wa Simba, Joseph Itang’are ‘Mzee Kinesi sasa ndiye mwenyekiti mpya Simba.
 
Itang’are alikuwa akikaiumu nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Kaburu aliyeamua kuachia ngazi.


Sasa ndiye atakuwa mwenyekiti mpya wa Simba, saa chache tu baada ya mwenyekiti, Ismail Aden Rage kusimamishwa.

Mmoja ya wajumbe wa kamati ya utendaji, Swed Nkwabi yeye ameteuliwa kuwa kaimu makamu mwenyekiti.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic