November 19, 2013





Selemani Matola ndiye kocha msaidizi mpya wa Simba anayechukua nafasi ya Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.
 
Uongozi wa Simba umethibitisha hilo leo kwamba Matola ndiye atasaidiana na Kocha Mkuu mpya, Zdravko Logarusic kutota Croatia.

Uongozi wa Simba umethibitisha hilo ikiwa ni dakika chache baada ya kuwatimua kibaruani Abadallah Kibadeni aliyekuwa kocha mkuu na msaidizi wake, Julio.

Katika kipindi hiki, Matola amekuwa akifanya kazi ya kukinoa kikosi cha Simba B ambacho kinashiriki michuano ya Uhai.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic