November 17, 2013





Hadithi ya usajili wa Hassan Dilunga imezidi kuchukua nafasi nyingi, safari imeelezwa kuwa ni kweli amesajiliwa Yanga.


Awali taarifa za kusajiliwa kwake Yanga zilisambaa lakini Dilunga aliileza SALEHJEMBE kwamba hajasajili Yanga.

Lakini leo, SALEHJEMBE imezungumza na Abdallah Bin Kleb ambaye amesisitiza kwamba tayari Dilunga ni mali yao.

“Inawezekana labda ni uoga tu wa kuzungumza na waandishi lakini tayari Dilunga tumemalizana naye na ni mchezaji wa Yanga,” alisema Bin Kleb.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic