November 16, 2013



Mvua kidogo tu, jiji la Dar es Salaam kutokana na kukosa miundombinu bora, kila sehemu hakupitiki, mafuriko.
Lakini hata ofisi za makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kumbe yaleyale.


Nako hakuna miundombinu bora, maana mara baada ya mvua kwisha hali ilikuwa mbaya hasa kwa watembea kwa miguu.

Maji kibao, kupita hadi ujiibe pembeni na wengine walilazimika kuvua viatu na kukunja suaruali.


Rais mpya wa TFF, Jamal Malinzi hajaona hali ilivyokuwa lakini kupitia SALEHJEMBE kwa kuwa huwa hakosi kupofya, basi atajionea mwenyewe.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic