November 27, 2013





Mathieu Flamini ameingia kwenye mgogoro na Kocha Arsene Wenger kutokana na kitendo chake cha kukata mikono ya jezi.


Kiungo huyo ameonyesha kutovutiwa na jezi ya mikono mirefu hivyo amekuwa akizikata mikono kwa makusudi.

Lakini Wenger amesisitiza kwamba hatamruhusu kucheza iwapo atafanya hivyo kwa mara nyingine.



Awali hakuwa amejua kuwa Flamini anafanya hivyo hadi aliposimuliwa na mtunza vifaa alionyesha kukasirika na kumtaka Flamini kufuata utamaduni we Arsenal kama wachezaji wote wanavaa jezi za mikono mirefu basi ni wote.

Kwa timu nyingine, wachezaji huruhusiwa kuchagua jezi za mikono mirefu au mifupi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic