November 27, 2013



Zanzibar Heroes imeanza vizuri michuano ya Kombe la Chalenji baada ya kuichapa Sudan Kusini kwa mabao 2-1.


Zanzibar Heroes imeshinda mechi yake hiyo ya ufunguzi dhidi ya Sudan Kusini kwenye Uwanja wa Nyayo jijini Nairobi, leo.

Mechi hiyo ilikuwa nzuri, Zanzibar wakitawala zaidi na kama wangekuwa makini wangeweza kushinda mabao mengi zaidi.
Wao ndiyo walitangulia kufunga mabao yote mawili kabla ya Sudan Kusini kupata la kufutia machozi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic