November 30, 2013



Kocha Mkuu mpya  wa Azam FC, Joseph Omog amewatua nchini na muda mchache ujao aitaingia mkataba mpya wa kuinoa timu hiyo.


Omog anachukua nafasi ya Stewart Hall ambaye alimalizana na Azam FC na kuamua kuondoka zake kabla ya kupata dili la Symbion.

Kocha huyo amewasili na ndege ya Shirika la Ndege la Kenya ‘KQ’ na baada ya hapo amekutana na uongozi wa Azam FC kwa ajili ya kusaini mkataba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic