November 17, 2013



 
AWADHI JUMA AKISAINI
Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Mecky Maxime amesema Simba wamefainika kumnasa kiungo, Awadhi Juma.


Simba imesamsajili Juma kwa mkataba wa miaka miwili na mzunguko wa kwanza katika Ligi Kuu baraaliichezea Mtibwa Sugar.



“Kweli Simba wamepata mchezaji mzuri sana, jamaa anajituma na ana uwezo pale katika kiungo. Lakini itategemea wanamtumia vipi,” alisema.

Pamoja na kiungo huyo, Simba imemsajili mshambuliaji Ally Badru Ally aliyekuwa anakipiga katika klabu ya Canal Suez ya Misri.

Wote wawili wameanguka mkataba wa miaka miwili kwa Simba na wataanza kuonekana na timu hiyo katika mechi za kujiandaa na mzunguko wa pili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic