November 16, 2013


Safari ya Ufaransa kwenda Kombe la Dunia imeingia doa baada ya kuchapwa bao 2-0 katika mechi ya kwanza ya mtoano dhidi ya Ukraine.



Ingawa walikuwa ugenini, Ufaransa walishindwa kuonyesha upinzani zaidi na kujikuta wakichapwa bao hizo huku beki wao kisiki  Koscielny anayekipiga Arsenal akilimwa kadi nyekundu.

Ufaransa italazimika kufanya kazi kubwa katika mechi ya marudiano, la sivyo nyota kibao kama Evra, Benzema, Robery, Nasri na wengine kibao wataikosa michuano hiyo mikubwa zaidi ya soka dunia nchini Brazil, mwakani.


Ukraine: Pyatov, Khacheridi, Shevchuk, Fedetskiy, Kucher, Yarmolenko, Stepanenko, Konoplyanka (Gusev 90), Rotan, Edmar (Bezus 76), Zozulya (Seleznyov 86). Subs Not Used: Koval, Dedechko, Tymoschuk, Mandzyuk, Morozyuk, Sydorchuk, Rakitskiy, Devic, Khudzamov.
Sent Off: Kucher (90).
Booked: Shevchuk,Fedetskiy,Kucher.
Goals: Zozulya 61,Yarmolenko 83 pen.
France: Lloris, Debuchy, Abidal, Koscielny, Evra, Nasri (Valbuena 80), Matuidi, Pogba, Giroud (Benzema 70), Ribery, Remy (Sissoko 64). Subs Not Used: Mandanda, Mavuba, Sakho, Cabaye, Clichy, Grenier, Sagna, Payet, Landreau.
Sent Off: Koscielny (90).
Booked: Giroud,Sissoko.
Att: 67,732
Ref: Cuneyt Cakir (Turkey).

Second leg: Saint Denis, Tuesday, 8pm.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic