November 10, 2013


Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ya kufunga mabao 62 kwa mwaka 2013.


Ronaldo ameweka rekodi hiyo baada ya kufunga mabao matatu katika mechi dhidi ya Sociedaad.

Kwa msimu huu tayari ana mabao 24, kati ya hayo 16 ni ya La Lila na 8 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 Katika mechi nne zilizopita, Ronaldo amefunga jumla ya mabao tisa na kuweka moja ya rekodi za Hispania za mabao mengi.


Tayari Ronaldo amemtemlemsha Samuel Eto’o katika nafasi ya kuwa mmoja wa wafungaji bora wa Hispania, alikuwa anashikilia nafasi ya 14.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic