Mashabiki wa Man
United wameweka picha hii kwenye Facebook wakionyesha kuwananga wenzao wa Man United
kuelekea game ya leo ambayo itaanza muda si mrefu.
Hii ni kuonyesha
namna walivyopaniana na mwisho mshindi atapatikana baada ya dakika 90, hakuna
timu ya kuidharau.
0 COMMENTS:
Post a Comment