November 27, 2013


Siku moja tu baada ya mkwara uliopigwa na kocha wa Yanga, Ernie Brandts, wachezaji wawili wa kimataifa wameanza mazoezi.


Mbuyu Twite raia wa Rwanda na Didier Kavumbagu kutoka Burundi wameanza mazoezi.

Brandts raia wa Uholanzi, jana alihoji kutotokea kwa wawili hao wakati hawakuwa wameitwa katika timu zao za taifa zinazoshiriki Chalenji nchini Kenya.

Lakini leo walikuwa kati ya wachezaji wa Yanga walioshiriki mazoezi kwenye Uwanja wa Bora, Kijitonyama jijini Dar.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic