November 30, 2013


Mkongwe wa muziki wa dansi nchini DR Congo, Tabu Ley amefariki dunia nchini Ubelgiji.
 
Tabu Ley amefariki nchini humo baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi kwa zaidi ya miaka minne.
...ALIPOKUWA AMELAZWA KABLA MAUTI KUMKUTA

Mkongwe huyo ndiye mwazilishi wa miondoko ya Sokous iliyoshika chati na kuwa moja ya aina ya muziki uliopendwa zaidi duniani.


Alitamba wakati huo pamoja na mwanamama Mbilia Bel ambaye baadaye alihamia nchini Kenya.

Baadhi ya albamu zake kali wakati wa uhai wake ni Tompelo, Babeti Sokous, Tete Nakozonga na Muzina ambayo ilikamata ile mbaya.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic