November 30, 2013

BERKO MARA TU BAADA YA KUWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR

Aliyekuwa kipa wa Yanga Mghana Yaw Berko ametua leo jijini Dar tayari ya kuanza maisha mpya na Simba SC.


 Berko ametua jijini leo asubuhi na ndege ya Shirika la Kenya akitokea kwao Ghana na kulakiwa na kiongozi wa ufundi wa Simba, Danny Manembe.
Mara baad ya kutua Berko alipata nafasi ya kuzungumza na Salehjembe akisema anaijua Simba vizuri huku pia akimjua kipa wao namba moja Abel Dhaira ambapo atahakikisha anapambana katika mazoezi ili kujihakikishia nafasi katika timu hiyo.

“Naijua Simba, mimi sio mgeni hapa, namjua pia kipa wao yule wa Uganda lakini namtanguliza Mungu, lakini pia nitajituma mazoezini ili kuweza kujipatia nafasi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic