November 8, 2013

OLJORO
Mechi za jana (Novemba 7 mwaka huu) kati ya Yanga na Oljoro imeingiza sh. 34,902,000 kutokana na watazamaji 6,045 ambapo kila klabu imepata sh. 7,812,477.95.

Hiyo inaonyesha wazi kuwa kuchwa kwa mechi mbili kwa siku moja katika jiji la Dar kumechangia kupungua kwa mapato hayo.
Kawaida, Yanga inapocheza mechi ya ligi, kiasi cha chini kabisa huwa si chini ya Sh milioni 50.


Katika mechi hiyo ambayo Yanga ilishinda kwa mabao 3-0, watazamaji walikuwa wachache na wadau wakasema suala la Azam TV kuonyesha mechi pamoja na Mbeya City na Azam FC kucheza Chamazi ilichangia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic